Habari za jioni! 🛑 Siku yenyewe ndio kesho, Jumamosi ya tarehe 21/06 na vitafunwa ni kama hapo vilivyoanza kuandaliwa. Mada ya mazungumzo yetu ni kama ilivyotajwa kwenye moja ya chapisho zilizopita, na muda ni saa tatu kamili usiku kwa majira ya Afrika mashariki ndani ya chumba changu cha sauti. Tunahesabu saa tu sasa. Karibuni!